1 line
282 B
Plaintext
1 line
282 B
Plaintext
\v 71 Lakini alianza kujiweka mwenyewe chini ya laana na kuapa, "Simjui mtu huyu mnayemsema." \v 72 Kisha jogoo aliwika mara ya pili. Kisha Petro alikumbuka maneno ambayo Yesu aliyokuwa amemwambia: "Kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu." Na alianguka chini na kulia. |