sw_mrk_text_ulb/14/63.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 63 Kuhani mkuu alirarua mavazi yake na kusema, "Je, bado tunahitaji mashahidi? \v 64 Mmesikia kufuru. Uamuzi wenu ni upi?" Na wote walimhukumu kama mmoja aliyestahili kifo. \v 65 Baadhi wakaanza kumtemea mate na kumfunika uso na kumpiga na kumwambia, "Tabiri!" Maafisa walimchukua na kumpiga.