sw_mrk_text_ulb/14/60.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 60 Kuhani mkuu alisimama katikati yao na akamwuliza Yesu, "Je, huna jibu? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?" \v 61 Lakini alikaa kimya na hakujibu chochote. Mara Kuhani mkuu alimwuliza tena, "Je wewe ni Kristo, mwana wa Mbarikiwa?" \v 62 Yesu alisema, "Mimi ndiye. Na utamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kulia wa nguvu akija na mawingu ya mbinguni."