|
\v 57 Baadhi walisimama na kuleta ushahidi wa uongo dhidi yake; wakisema, \v 58 "Tulimsikia akisema, 'Nitaliharibu hekalu hili lililotengenezwa kwa mikono, na ndani siku tatu nitajenga lingine lisilotengenezwa kwa mikono.'" \v 59 Lakini hata ushahidi wao haukufanana. |