sw_mrk_text_ulb/14/43.txt

1 line
450 B
Plaintext

\v 43 Mara tu alipokuwa bado anaongea, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, alifika, na kundi kubwa kutoka kwa wakuu wa makuhani, waandishi na wazee wenye mapanga na marungu. \v 44 Wakati huo msaliti wake alikuwa amewapa ishara, akisema, Yule nitakayembusu, ndiye. Mkamateni na kumpeleka chini ya ulinzi." \v 45 Wakati Yuda alipofika, moja kwa moja alienda kwa Yesu na kusema, "Mwalimu!" Na akambusu. \v 46 Kisha wakumtia chini ya ulinzi na kumkamata.