sw_mrk_text_ulb/14/37.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 37 Alirudi na kuwakuta wamelala, na akamwambia Petro, "Simoni, je umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja? \v 38 Kesheni na muombe kwamba msije mkaingia katika majaribu. Hakika roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu." \v 39 Alienda tena na kuomba, na alitumia maneno yaleyale.