sw_mrk_text_ulb/14/35.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 35 Yesu alienda mbele kidogo, akaanguka chini, akaomba, kama ingewezekana, kwamba saa hii ingemwepuka. \v 36 Alisema, "Aba, Baba, Mambo yote kwako yanawezekana. Niondolee kikombe hiki. Lakini siyo kwa mapenzi yangu, bali mapenzi yako."