sw_mrk_text_ulb/14/32.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 32 Walikuja kwenye eneo lililoitwa Gethsemane, na Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kaeni hapa wakati nasali." \v 33 Aliwachukua Petro, Yakobo, na Yohana pamoja naye, akaanza kuhuzunika na kutaabika sana. \v 34 Aliwaambia, "Nafsi yangu ina huzuni sana, hata kufa. Bakini hapa na mkeshe."