sw_mrk_text_ulb/14/30.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 30 Yesu alimwambia, "Kweli nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, utakuwa umenikana mara tatu." \v 31 Lakini Petro alisema, "Hata itanilazimu kufa pamoja nawe, sitakukana." Wote walitoa ahadi ile ile.