\v 26 Walipokwisha kuimba wimbo, walikwenda nje katika Mlima wa Mizeituni. \v 27 Yesu aliwaaambia, "Ninyi nyote mtajitenga mbali kwa sababu yangu, kwa kuwa imeandikwa, 'Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.'