sw_mrk_text_ulb/14/17.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 17 Wakati ilipokuwa jioni, alikuja na wale Kumi na wawili. \v 18 Na walipokuwa wakiikaribia meza na kula, Yesu alisema, "Kweli nawaambia, mmoja kati yenu anayekula pamoja nami atanisaliti." \v 19 Wote walisikitika, na mmoja baada ya mwingine walimwambia, "Hakika siyo mimi?"