sw_mrk_text_ulb/14/06.txt

1 line
440 B
Plaintext

\v 6 Lakini Yesu alisema, "Mwacheni peke yake. Kwa nini mnamsumbua? Amefanya jambo zuri kwangu. \v 7 Siku zote maskini mnao, na wakati wowote mnapotamani mnaweza kufanya mazuri kwao, lakini hamtakuwa nami wakati wote. \v 8 Amefanya kile anachoweza: ameupaka mwili wangu mafuta kwa ajili ya maziko. \v 9 Kweli nawaambia, kila mahali injili inapohubiriwa katika ulimwengu wote, kile alichofanya mwanamke huyu kitazungumzwa kwa ukumbusho wake.