sw_mrk_text_ulb/14/01.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 1 Ilikuwa siku mbili tu baada ya sikukuu ya Pasaka na ya Mikate Isiyotiwa Chachu. Makuhani wakuu na waandishi walikuwa wakitafuta namna ya kumkamata Yesu kwa hila na kumuua. \v 2 Kwa kuwa walisema, "Sio wakati huu wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia."