sw_mrk_text_ulb/13/33.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 33 Iweni macho, Tazama, kwa sababu hamjui ni muda gani yatatokea. (Zingatia: Mstari huu, "Muwe waangalifu, Tazameni na ombeni kwa sababu..." haumo kwenye nakala za kale). \v 34 Ni kama mtu anayeenda safarini: akaacha nyumba yake, na kumweka mtumwa wake kuwa mtawala wa nyumba, kila mmoja na kazi yake. Na kumwamuru mlinzi kukaa macho.