sw_mrk_text_ulb/13/30.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 30 Kweli, nawambieni, hiki kizazi hakitapita mbali kabla mambo haya hayajatokea. \v 31 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. \v 32 Lakini kuhusu siku hiyo au saa, hakuna ajuaye, hata malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba.