1 line
307 B
Plaintext
1 line
307 B
Plaintext
\v 21 Wakati huo kama mtu yeyote atawaambia, Tazama, Kristo yuko hapa!' au 'Tazama, yuko pale!' msiamini. \v 22 Kwani Wakristo wa uongo na manabii wa uongo watatokea na watatoa ishara na maajabu, ili kwamba, wawadanganye, yamkini hata wateule. \v 23 Iweni macho! Nimekwisha wambia haya yote kabla ya wakati. |