sw_mrk_text_ulb/13/17.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 17 Lakini ole wao wanawake wenye mimba na wanyonyeshao katika siku hizo! \v 18 Ombeni kwamba isitokee wakati wa baridi. \v 19 Kwani patakuwa na mateso makubwa, ambayo hayajawahi kutokea, tangu Mungu alipoumba ulimwengu, mpaka sasa, hapana, wala haitatokea tena. \v 20 Mpaka Bwana atakapopunguza siku, hakuna mwili utakaookoka, lakini kwa ajili ya wateule, atakaowachagua, atapunguza namba za siku.