sw_mrk_text_ulb/13/14.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 14 Mtakapoona chukizo la uharibifu limesimama pale lisipotakiwa kusimama (asomaye na afahamu), ndipo walioko ndani ya Yuda wakimbilie milimani, \v 15 naye aliyeko juu ya nyumba asishuke chini ya nyumba, au kuchukua chochote kilichoko nje, \v 16 na aliyeko shambani asirudi kuchukua vazi lake.