sw_mrk_text_ulb/13/09.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 9 Iweni macho. Watawapeleka hadi mabarazani, na mtapingwa katika masinagogi. Mtasimamishwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, kama ushuhuda kwao. \v 10 Lakini injili lazima kwanza ihubiriwe kwa mataifa yote.