sw_mrk_text_ulb/13/03.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 3 Naye alipokuwa amekaa juu ya Mlima wa Mizeituni nyuma ya hekalu, Petro, Yakobo, Yohana na Andrea wakamwuliza kwa siri, \v 4 "Tuambie, mambo haya yatakuwa lini? Ni nini dalili ya mambo haya kutokea?"