sw_mrk_text_ulb/13/01.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 1 Yesu alipokuwa akitembea kutoka hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake akamwuliza, "Mwalimu, tazama mawe haya yakushangaza na majengo!" \v 2 Akamwambia, Unaona majengo haya makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalo salia juu ya jingine ambalo halitaangushwa chini".