sw_mrk_text_ulb/12/43.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 43 Kisha akawaita wanafunzi wake na kuwaambia, "Amini nawaambia, mwanamke huyu mjane ametia kiasi kikubwa zaidi ya wote ambao wameshatoa katika sanduku la sadaka. \v 44 Kwani wote wametoa kutokana na wingi wa mapato yao. Lakini mwanamke mjane huyu, kutoka katika umaskini wake, katia pesa yote ambayo alipaswa kuitumia kwa maisha yake."