sw_mrk_text_ulb/12/41.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 41 Kisha Yesu aliketi chini karibu na sanduku la sadaka ndani ya eneo la hekalu; alikuwa akitazama watu waliokuwa wakitia pesa zao ndani ya sanduku. Watu wengi matajiri waliweka kiasi kikubwa cha pesa. \v 42 Kisha mwanamke mjane maskini alikuja na kutia vipande viwili, thamani ya senti.