sw_mrk_text_ulb/12/38.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 38 Katika mafundisho yake Yesu alisema, "Jihadharini na waandishi, wanaotamani kutembea na kanzu ndefu na kusalimiwa kwenye masoko \v 39 na kuketi kwenye viti vya wakuu katika masinagogi na katika sikukuu kwa maeneo ya wakuu. \v 40 Pia wanakula nyumba za wajane na wanaomba maombi marefu ili watu wawaone. Hawa watu watapokea hukumu iliyo kuu."