1 line
431 B
Plaintext
1 line
431 B
Plaintext
\v 35 Na Yesu alijibu, wakati alipokuwa akifundisha katika hekalu, akasema, "Je! waandishi husemaje kuwa Kristo ni mwana wa Daudi? \v 36 Daudi mwenyewe katika Roho Mtakatifu, alisema, 'Bwana alisema kwa Bwana wangu, keti katika mkono wangu wa kuume, mpaka niwafanye maadui wako kuwa chini ya miguu yako.' \v 37 Daudi mwenyewe humwita Kristo, 'Bwana' Je! ni mwana wa Daudi kwa jinsi gani?" Na kusanyiko kuu lilimsikiliza kwa furaha. |