sw_mrk_text_ulb/12/32.txt

1 line
456 B
Plaintext

\v 32 Mwandishi akasema, "Vema Mwalimu! Umesema kweli kwamba Mungu ni mmoja, na kwamba hakuna mwingine zaidi yake. \v 33 Kumpenda yeye kwa moyo wote, na kwa ufahamu wote na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama mwenyewe, ni muhimu mno kuliko matoleo na dhabihu za kuteketeza." \v 34 Wakati Yesu alipoona ametoa jibu la busara, alimwambia, "Wewe hauko mbali na ufalme wa Mungu." Baada ya hapo hakuna hata mmoja aliye thubutu kumwuliza Yesu maswali yoyote.