sw_mrk_text_ulb/12/26.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 26 Lakini, kuhusu wafu ambao wanafufuliwa, Je! Hamkusoma kutoka katika kitabu cha Musa, katika habari za kichaka, jinsi Mungu alivyosema na kumwambia, 'Mimi ni Mungu wa Abrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?' \v 27 Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Ni dhahiri mmepotoka."