1 line
367 B
Plaintext
1 line
367 B
Plaintext
\v 20 Kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza alitwaa mke na kisha akafa, hakuacha watoto. \v 21 Kisha wa pili alimchukua naye akafa, hakuacha watoto. Na wa tatu hali kadhalika. \v 22 Na wa saba alikufa bila kuacha watoto. Mwishowe na mwanamke pia akafa. \v 23 Wakati wa ufufuo, watakapofufuka tena, Je! Atakuwa mke wa nani? Kwani wale ndugu wote saba walikuwa waume wake." |