sw_mrk_text_ulb/12/16.txt

1 line
222 B
Plaintext

\v 16 Wakaleta moja kwa Yesu, Akawaambia, "Je! ni sura ya nani na maandishi yaliyopo hapa ni ya nani? Wakasema, "Ya Kaisari." \v 17 Yesu akawaambia, "Mpeni Kaisari vitu vya Kaisari na Mungu vitu vya Mungu." Wakamstaajabia.