sw_mrk_text_ulb/12/10.txt

1 line
308 B
Plaintext

\v 10 Hamjapata kusoma andiko hili? "Jiwe ambalo wajenzi walilikataa, limekuwa jiwe la pembeni. \v 11 Hili lilitoka kwa Bwana, na ni la ajabu machoni petu." \v 12 Walitafuta kumkamata Yesu, Lakini waliwaogopa makutano, kwani walijua kuwa alikuwa amenena mfano huo dhidi yao. Hivyo walimwacha na wakaenda zao.