sw_mrk_text_ulb/12/08.txt

1 line
220 B
Plaintext

\v 8 Walimvamia, wakamuua na kumtupa nje ya shamba la mizabibu. \v 9 Kwa hiyo, Je! Atafanya nini mmiliki wa shamba la mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wakulima wa mizabibu na atalikabidhi shamba la mizabibu kwa wengine.