sw_mrk_text_ulb/11/31.txt

1 line
397 B
Plaintext

\v 31 Walijadiliana miongoni mwao na kushindana na kusema, "Kama tukisema, 'Kutoka mbinguni,' atasema, 'Kwa nini basi hamkumwamini?' \v 32 Lakini kama tukisema, 'Kutoka kwa wanadamu,'..." Waliwaogopa watu, kwa kuwa wote walishikilia kwamba Yohana alikuwa Nabii. \v 33 Ndipo walimjibu Yesu na kusema, "Hatujui. Ndipo Yesu akawaambia, "Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani nayafanya mambo haya.