sw_mrk_text_ulb/11/29.txt

1 line
199 B
Plaintext

\v 29 Yesu aliwaambia, "Nitawauliza swali moja. Niambieni na mimi nitawaambia kwa mamlaka gani ninayafanya mambo haya. \v 30 Je, ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au ulitoka kwa wanadamu? Nijibuni."