sw_mrk_text_ulb/11/27.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 27 Walikuja Yerusalemu tena. Na Yesu alipokuwa akitembea hekaluni, makuhani wakuu, waandishi na wazee walikuja kwake. \v 28 Walimwambia, "Kwa mamlaka gani unafanya mambo haya?" Na ni nani aliyekupa mamlaka kuyafanya haya?"