1 line
370 B
Plaintext
1 line
370 B
Plaintext
\v 17 Aliwafundisha na akasema, "Je haikuandikwa, 'nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote'? Lakini mmeifanya pango la wanyang'anyi". \v 18 Makuhani wakuu na waandishi walisikia alivyokuwa amesema, nao walitafuta njia ya kumwua. Hata hivyo walimwogopa kwa sababu umati ulishangazwa na mafundisho yake. \v 19 Na kila wakati jioni ilipofika, waliondoka mjini. |