sw_mrk_text_ulb/11/15.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 15 Walikuja Yerusalemu, naye aliingia hekaluni na kuanza kuwatoa nje wauzaji na wanunuzi ndani ya hekalu. Alizipindua meza za wabadilishaji wa fedha na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa. \v 16 Hakumruhusu yeyote kubeba chochote hekaluni kilichoweza kuuzwa.