sw_mrk_text_ulb/11/07.txt

1 line
418 B
Plaintext

\v 7 Wanafunzi wawili walimleta mwanapunda kwa Yesu na walitandika mavazi yao juu yake ili Yesu aweze kumpanda. \v 8 Watu wengi wakatandika mavazi yao barabarani, na wengine wakatandika matawi waliyoyakata kutoka mashambani. \v 9 Wale waliokwenda mbele yake na wale waliomfuata walipiga kelele, "Hosana! Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana. \v 10 Ubarikiwe ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi! Hosana kwa aliye juu"