sw_mrk_text_ulb/10/51.txt

1 line
230 B
Plaintext

\v 51 Yesu akamjibu na kusema, "Unataka nikufanyie nini?" Yule mwanaume kipofu akamjibu, "Mwalimu, ninataka kuona." \v 52 Yesu akamwambia, "Nenda. Imani yako imekuponya." Hapo hapo macho yake yakaona; na akamfuata Yesu barabarani.