sw_mrk_text_ulb/10/49.txt

1 line
178 B
Plaintext

\v 49 Yesu alisimama na kuamuru aitwe. Walimwita yule kipofu, wakisema, "Kuwa shujaa! Inuka! Yesu anakuita." \v 50 Akalitupa pembeni koti lake, akakimbia zaidi, na kuja kwa Yesu.