sw_mrk_text_ulb/10/43.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 43 Lakini haipaswi kuwa hivi kati yenu. Yeyote atakaye kuwa mkubwa kati yenu lazima awatumikie, \v 44 na yeyote atakaye kuwa wa kwanza kati yenu ni lazima awe mtumwa wa wote. \v 45 Kwa kuwa Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa bali kutumika, na kuyatoa maisha yake kuwa fidia kwa wengi."