sw_mrk_text_ulb/10/38.txt

1 line
413 B
Plaintext

\v 38 Lakini Yesu aliwajibu, "Hamjui mnachoomba. Mnaweza kukinywea kikombe ambacho nitakiywea au kustahimili ubatizo ambao nitabatizwa?" \v 39 Wakamwambia, "Tunaweza" Yesu akawaambia, "Kikombe nitakachokinywea, mtakinywea. Na ubatizo ambao kwao nimebatizwa, mtaustahimili. \v 40 Lakini atakayekaa mkono wangu wa kuume au mkono wangu wa kushoto sio mimi wa kutoa, lakini ni kwa wale ambao kwao imekwisha andaliwa."