sw_mrk_text_ulb/10/26.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 26 Walishangazwa sana na wakasemezana, "Hivyo nani ataokoka" \v 27 Yesu akawaangalia na kusema, " Kwa binadamu haiwezekani, lakini sio kwa Mungu. Kwa kuwa katika Mungu yote yanawezekana." \v 28 "Petro akaanza kuzungumza naye, "Angalia tumeacha vyote na tumekufuata."