sw_mrk_text_ulb/10/23.txt

1 line
387 B
Plaintext

\v 23 Yesu akatazama pande zote na kuwaambia wanafunzi wake, "Ni jinsi gani ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! \v 24 Wanafunzi walishangazwa kwa maneno haya. Lakini Yesu akawaambia tena, "Watoto, ni jinsi gani ilivyo vigumu kuingia katika ufalme wa Mungu! \v 25 Ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano, kuliko mtu tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu."