sw_mrk_text_ulb/10/20.txt

1 line
374 B
Plaintext

\v 20 Mtu yule akasema, "Mwalimu, haya yote nimeyatii tangu nikiwa kijana." \v 21 Yesu alimwangalia na kumpenda. Akawambia, "Unapungukiwa kitu kimoja. Unapaswa kuuza vyote ulivyo navyo na uwape masikini, na utakuwa na hazina mbinguni. Ndipo uje unifuate." \v 22 Lakini alikata tamaa kwa sababu ya maelezo haya; aliondoka akiwa mwenye huzuni, kwa kuwa alikuwa na mali nyingi.