sw_mrk_text_ulb/10/13.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 13 Nao walimletea watoto wao wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. \v 14 Lakini Yesu alipotambua hilo, hakufurahishwa nalo kabisa akawaambia, "Waruhusuni watoto wadogo waje kwangu, na msiwazuie, kwa sababu walio kama hawa ufalme wa Mungu ni wao.