sw_mrk_text_ulb/10/10.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 10 Walipokuwa ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamwuliza tena kuhusu hili. \v 11 Akawaambia, "Yeyote amwachaye mke wake na kumwoa mwanamke mwingine, anafanya uzinzi dhidi yake. \v 12 Mwanamke naye akimwacha mme wake na kuolewa na mwanamme mwingine, anafanya uzinzi."