\v 45 Kama mguu wako ukikukosesha, ukate. Ni vyema kwako kuingia uzimani ukiwa kilema, kuliko kutupwa hukumuni na miguu miwili. \v 46 (Zingatia: Mstari huu, "Mahali ambapo funza hawafi na moto usioweza kuzimika" haumo kwenye nakala za kale).