sw_mrk_text_ulb/09/42.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 42 Yeyote anayewakosesha hawa wadogo waniaminio mimi, ingekuwa vyema kwake kufungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutupwa baharini. \v 43 Kama mkono wako ukikukosesha ukate. Ni heri kuingia katika uzima bila mkono kuliko kuingia kwenye hukumu ukiwa na mikono yote. Katika moto "usiozimika". \v 44 (Zingatia: Mstari hii, "Mahali ambapo funza hawafi na moto usiozimika." haumo katika nakala za kale).