\v 40 Yeyote asiyekuwa kinyume nasi yuko upande wetu. \v 41 Yeyote atakayekupa kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu uko na Kristo, kweli nawaambia, hatapoteza thawabu yake.