sw_mrk_text_ulb/09/38.txt

1 line
254 B
Plaintext

\v 38 Yohana alimwambia, "Mwalimu tulimwona mtu anatoa pepo kwa jina lako na tukamzuia, kwa sababu hatufuati." \v 39 Lakini Yesu alisema, "Msimzuie, kwa kuwa hakuna atakayefanya kazi kubwa kwa jina langu na ndipo baadaye aseme neno baya lolote juu yangu.